Habari za Punde

Kutoka Baraqzani Leo Baada ya Kupitisha Bajeti za Wizara Zanzibar.


Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akiwa na Wasaidizi wake wakitoka katika Ukumbi wa Baraza baada ya Kuahirisha Kikao cha Kupitisha Bajeti za Serekali ya Mapinduzi Zanzibar. 
 Waheshimiwa Wawakilishi wakitoka katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza na Makabrasha yao baada ya kumalizika kwa Kikao cha Bajeti ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kw mwaka 2012/2013




1 comment:

  1. HII FIMBO MAANA YAKE NINI? NA NANI ALIIANZISHA? TUSIJE TUKAIGA KITU AMBACHO HAKINA MAANA. IVI BUNGE HALIWEZI KUFANYA KAZI BILA KUWA NA GOGO HILI/FIMBO HII ILIYPBEBWA??? INABIDI TUFANYE YENYE MAANA BILA KUPOTEZA WAKATI,DUNIANI MAISHA NI MAFUPI

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.