Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akiwa na Wasaidizi wake wakitoka katika Ukumbi wa Baraza baada ya Kuahirisha Kikao cha Kupitisha Bajeti za Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
Waheshimiwa Wawakilishi wakitoka katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza na Makabrasha yao baada ya kumalizika kwa Kikao cha Bajeti ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kw mwaka 2012/2013
WANAOSAFIRISHA MAZAO KINYUME CHA SHERIA KUWAJIBISHWA– COPRA
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imeonya vikali
wafanyabiashara wanaosafirisha mazao ya kilimo bi...
3 hours ago
HII FIMBO MAANA YAKE NINI? NA NANI ALIIANZISHA? TUSIJE TUKAIGA KITU AMBACHO HAKINA MAANA. IVI BUNGE HALIWEZI KUFANYA KAZI BILA KUWA NA GOGO HILI/FIMBO HII ILIYPBEBWA??? INABIDI TUFANYE YENYE MAANA BILA KUPOTEZA WAKATI,DUNIANI MAISHA NI MAFUPI
ReplyDelete