Habari za Punde

Mhe Mnyaa Aweka Jiwe la Msingi Kituo cha Afya Mkanyageni Pemba.

 Waziri wa Mawasiliano Sayasi na Teknologia Tanzania Makame Mbarawa Mnyaa akiweka jiwe la Msingi la jengo la Kituo cha Afya cha Jimbo la Mkanyageni, alipofanya ziara na kuchangia kituo hicho kwa ajili ya Wananchi wa Jimbo hilo

2 comments:

  1. Jiwe la msingi limewekwa Micheweni au Mkanyageni?

    ReplyDelete
  2. He have long way to go 15 yrs from now in order for him to win Ubunge Pemba he need to get kwenye Jahazi Asilia , sio jahazi lililotoboka.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.