Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi (hayupo pichani ) akitoa taarifa kwa wananchi wote wa Zanzibar kushirikiana na makarani wa Sensa katika kutoa majibu yalio sahihi ili kufanikisha zoezi hilo linalotarajiwa kufanyika 26Agosti2012.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akisisitiza jambo alipozungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)akitoa taarifa kwa wananchi wote wa Zanzibar kushirikiana na makarani wa Sensa katika kutoa majibu yalio sahihi ili kufanikisha zoezi hilo linalotarajiwa kufanyika 26Agosti2012.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akifafanua jambo alipozungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani)akitoa taarifa kwa wananchi wote wa Zanzibar kushirikiana na makarani wa Sensa katika kutoa majibu yalio sahihi ili kufanikisha zoezi hilo linalotarajiwa kufanyika 26Agosti2012.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment