Habari za Punde

Sikukuu Viwanja vya Tomondo Boys


w
Wakiwa  katika pembea wakibembea kusherehekea sikukuu, baada ya mfungo wa mwezi  wa Ramadhani wakijumuika na Waislam wengine dunia kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitry. baada ya mfungo wa mwezi wa Ramadhani kumalizika mwishoni mwa wiki hii.
Watoto wakisherehekea Sikukuu ya Eid el Fitry katika viwanja vya Tomondo Boys kwa michezo mbalimbali ilioko katika kiwanja hicho.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.