Habari za Punde

CUF Yazinduwa Kampeni ya Uchaguzi wa Jimbo la Bububu katika Viwanja vya Skuli ya Bububu.a

 Makamu Mwenyekiti wa CUF Machano Khamis, akimtambulisha Mgombea wa Chama hicho Issa Khamis, kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu katika Mkutano wa Uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Skuli Bububu.
 Mgombea wa Chama cha CUF Issa Khamis akijitambulisha kwa Wananchi wa Jimbo la Bububu wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo unaofanyika kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mwakilishi wa jimbo hilo Salim Amuor Mtondoo 
 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CUF Machana Khamis, akizinduwa Kampeni za Uchaguzi wa Chama chake katika viwanja vya skuli ya bububu.
 Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitowa sera za Chama chake kwa  wananchi waliofika katika uzinduzi wa kampeni katika viwanja vya skuli ya bububu
  Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Taifa Machano Khamis.
 Waheshimiwa wakiwa katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Chama cha CUFya Uchaguzi Mdogo wa jimbo hilo.uliozinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CUF Taifa Machano Khamis.
 Wanachama wa CUF wakishangilia katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya Jimbo la Bububu zilizofanyika katrika viwanja vya Skuli ya Bububu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.