Habari za Punde

Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Hesabu za Serekali na Mashirika ya Umma Zanzibar ikitembelea Gazeti la Zanzibar leo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Hesabu za Serekali na Mashirika ya Umma (PAC),Ali Omar Shehe, akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo, wakiwasili katika Ofisi za Gazeti la Zanzibar, kwa kazi za kamati kuchunguza hesabu za Serekali kwa Shirika hilo la Magazeti ya Serikali Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.