Habari za Punde

Mandhari ya Eneo la Mlandege Zenj...

Mandhari ya eneo la Mlandege likiwa katika mandhari ya picha kama linavyoonekana pichani, likiwa katika harakati za hapa na pale.Tafauti na enzi zile unalolikumbuka wewe likiwa na harakati za biashara za mitumba ikiwa imetawala sehemu yote hii na kulifanya kuwa bizzy wakati wa asubuhi kwa biashara ya mitumba tafauti na sasa likiwa liko tulivu kama lilivyo na kupungua harakati hizo. 

1 comment:

  1. mbona unatia aibu wewe mwandishi wa khabari unakosa mpangilio katika uandishi wako. hapa naona unakoroga tu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.