Mandhari ya eneo la Mlandege likiwa katika mandhari ya picha kama linavyoonekana pichani, likiwa katika harakati za hapa na pale.Tafauti na enzi zile unalolikumbuka wewe likiwa na harakati za biashara za mitumba ikiwa imetawala sehemu yote hii na kulifanya kuwa bizzy wakati wa asubuhi kwa biashara ya mitumba tafauti na sasa likiwa liko tulivu kama lilivyo na kupungua harakati hizo.
ALLY HAPI AZINDUA KAMPENI ZA KISHINDO JIMBO LA SEGEREA
-
NA MWANDISHI WETU
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Ally Salumu Hapi, amezindua
kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Segerea,jijin...
6 hours ago
mbona unatia aibu wewe mwandishi wa khabari unakosa mpangilio katika uandishi wako. hapa naona unakoroga tu.
ReplyDelete