Habari za Punde

Hatimae Muembe wa Magomeni wakatwa

Hatimai muembe wa Magomeni Jitini wakatwa kutokana na kelele za wakazi wa eneo hilo kulalamikia muembe huo unahatarisha wakazi wa eneo hilo na wapita njia kwa kuhofia kuanguka na kuleta madhara kwao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.