Habari za Punde

Utafiti wa Mabaki ya Vitu vya Zamani Zanzibar.

 Mwanafunzi kutoka Chuo cha Oxford Uingereza Anna Maria Kotarba, akichagua mabaki ya mawe na magae ya vyungu vya zamani walivyokusanya katika maeneo ya Pango la Kuumbi Jambiani na Mji wa Kale wa Unguja Ukuu Zanzibar, wakifanya utafiti kupitia Mradi wa Sealinks,(Univesity of Oxford Uk Sealinks Project)kufanya utafiti wa mabaki ya vitu vya Zamani  katika maeneo ya historia Zanzibar, akiwa katika eneo la Makumbusho ya Taifa Jumba la Kumbukumbu Forodhani. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.