Habari za Punde

Ligi Kuu Zanzibar - Jamhuri 2 - Duma 0


WACHEZAJI wa klabu ya soka ya Jamhuri wakiongozwa nahodha wao wa pili kushoto Mfaume Shaban pamoja na Mohamed Omar mwenye jezi namba 15, wakishangilia goli la pili lililofungwa na Mfaume Shaban kwa njia ya penalti, kwenye mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar ya ‘Grand Malt’ uliochezwa uwanja wa Gombani, na Jamhuri kuifunga Duma magoli 2- 0 (picha na Haji Nassor, Pemba)

KIKOSI cha Jamhuri kikiongozwa nahodha wao mwenye jezi namba 9 Mfaume Shaaban Ibrahim wakishangilia goli la kwanza kwa njia ya tuta, lililofungwa na nahodha huyo kwenye mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar ya ‘Grand Malt’ uliochezwa uwanja wa Gombani ambapo Jamhuri iliivuruga Duma inayomilikiwa na JKU Pemba kwa magoli 2-0 (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.