Katika mahojiano haya, Mhe. Hamad anaeleza kile
kilichomleta Marekani, hali ya kisiasa Zanzibar
Anajadili maridhiano ya mwaka 2009 na kufafanua
ni kwanini alipigania kura za chaguzi za 1995, 200 na 2005 lakini sio 2010
ambapo wengi waliamini ameshinda ukilinganisha na chaguzi zilizopita?
Anazungumziaje dhana ya ukubwa wa serikali
Zanzibar ukilinganisha na idadi ya watu wakena ni kwanini tuwe na Makamu wa
Kwanza na Makamu wa Pili wa Zanzibar.
Nini kiini cha mgogoro wa sensa?
Na pia, kwa yeye kuwa sehemu ya serikali
Zanzibar ilhali ni kiongozi wa chama cha upinzani Bara kunaleta mgongano wa
maslahi?
Kwanini CUF inaonekana kupoteza mvuto nchini
Tanzania?
Nini anazungumzia kuhusu mgogoro wake na Mhe.
Hamad Rashid?
Zanzibar inakabiliana vipi na tatizo la ajira
kwa vijana?
Je! Zanzibar ni nchi ya kijamaa ama
kibepari?
Vipi anazungumzia tatizo la usafiri nchini
Zanzibar?
Elimu je?
Suala la Muungano lina utata gani?
Ni ipi tofauti ya Maalim Seif wa 1995 na huyu
wa sasa?
Na mwisho nini wito wake kwa wote wamtazamao
sasa?
Ungana nasi
Kwa hisani ya http://www.changamotoyetu.blogspot.co.uk/
No comments:
Post a Comment