Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akipunga mkono kuwaaga wenyeji wake baada ya kumaliza Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi wakatikati akipunga mkono kumuaga Rasmi Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu alieondoka leo na kwenda Dare es Salaam baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili Zanzibar
No comments:
Post a Comment