Habari za Punde

Makamo wa Waziri Mkuu wa China atembelea sehemu za kihistoria

 Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akionyeshwa Bakuli ya Mwinyi Mkuu aliyeitumia kwa kunywa Uji wakati wa Uhai wake na Balozi mdogo wa China Zanzibar Mama Chen.
 -Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Mizinga ya zamani iliokuwa ikitumika Zanzibar wakati wa utawala wa Kisultani.

 Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Historia mbalimbali katika Nyumba ya Wananchi Forodhani ikiwa ni miongoni mwa ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
 Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu wakatikati mwenye shati jeupe akiangalia historia ya Utumwa katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar wakati akiendelea na ziara yake ya siku mbili.kushoto yake ni Balozi mdogo wa China Zanzibar Mama Chen.

Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Historia mbalimbali katika Nyumba ya Wananchi Forodhani ikiwa ni miongoni mwa ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.

Picha zote na Yussuf Simai, Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.