Habari za Punde

Maziko ya Joseph Moses Castico Mwanakwerekwe Zanzibar.

 Askofu Mstaafu wa Kanisa la Mkunazini Zanzibar John Ramadhani, akiongoza Ibada ya kuuombea mwili wa marehemu.
 Marehemu Joseph Moses Castico

 Waumini wa kanisa la Mkunazini wakiwa katika Ibada ya kuuombea mwili wa marehemu Joseph Castico, ikiongozwa na Askofu Mstaafu John Ramadhani.
 Mke wa marehemu Joseph Castico, Modline Castiko akiwa katika Ibada ya kuuombea mwili wa marehemu katika kanisa la Mkunazini Zanzibar.

 Father Masoud wa kanisa la Mkunazini akiuombea mwili wa marehemu wakati ukizikwa katika makaburi ya mwanakwerekwe.
 Wananchi wakiupokea mwili wa marehemu Joseph Castico wakati ukizikwa katika makaburi ya mwanakwerekwe leo jioni.
 Mtoto wa pili wa marehemu akimliwaza mama yake wakati wa maziko ya baba yake.
 Waumini wa dini ya Kikristo na Wananchi wwengine wakiwa katika makaburi wakishuhudia mazishi ya Marehemu Joseph Moses Castico yaliofanyika katika makaburi ya mwanakwerekwe Zanzibar.
 Mtoto wa kwanza wa Marehemu Lloyd Joseph Castico akiweka msalaba katika kaburi la baba yake baada ya kuzikwa katika makaburi ya mwanakwerekwe.
 Mke wa Marehemu Moldine Castico akiweka shada la maua katika kaburi baada ya mwili wa marehemu kuzika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.jioni ya leo na kuhudhuriwa na Wananchi mbalimbali.
Wananchi waliohudhuria mazishi ya Marehemu Joseph Moses Castico katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar jioni ya leo.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.