Habari za Punde

Rais Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Vodacomib

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom hapa nchini Bw.  ReneMeza, Ikulu  Dar-Es-Salaam, walipokutana jana jioni, Ijumaa Agosti 31,2012, ambapo aliishukuru kampuni hiyo ya simu za mkononi kwakuchangia katika mradi wa kuhifadhi mbwa mwitu katika hifadhi ya Taifa yaSerengeti, mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild DogsConservation Project, kwa dola za Marekani 450,000 kwa kipindi cha miakamitatu. kumi na Moja, wamerudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti30, 2012  baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi huo, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti,mkoani Mara.(Picha na Ikulu )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.