TANGAZO LA MUHADHARA SLOUGH UK:
ASSALAAMU ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH:
JUMUIYA YA WAISLAM WA SLOUGH (EAST AFRICAN COMMUNITY SLOUGH) INAPENDA KUWATANGAZIA
WAISLAM WOTE KUTOKA SEHEMU ZOTE ZA UINGEREZA (UK)
KUWA IMEANDAA MUHAADHARA MAALUM WA KIISLAM KWA WAISLAM WOTE WA KIKE NA KIUME, WADOGO NA WAKUBWA
UTAKAOFANYIKA
SIKU - JUMAMOSI,
TAREHE: 06-10-2012
MUDA - SAA SABA NA NUSU MCHANA (1:30 PM)
SEHEMU (ADDRESS) - DARVILLS LANE, CHALVEY, SLOUGH, SL1 2PH.
MADA - TARBIYAH (MALEZI)
MUHADHIR USTAADH ABUU BAKR KUTOKA READING,
MADA - KUTOA KATIKA NJIA YA ALLAH
MUHAADHIR - USTADH OMAR KUTOKA SLOUGH
NYOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUPATA MAWAIDHA KWA AJILI YA
KUZITAKASA NA KUKUZA IMANI ZETU KWA AJILI YA ALLAH
KWA VILE NAFSI SIKU ZOTE ZINATAKA KUKUMBUSHWA NA KUHOFISWA JUU YA ALLAH
TAFADHALI UKIPATA UJUMBE HUU FANYA SADAKA YAKO KWA KUMFIKISHIA NA MWENGINE.
KWA MAWASILIANO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA
USTADH OMAR: 07404711889
UKHTY SOFIA: 07405158598
UKHTY: TATU: 07405189159
UKHTY FATMA: 07424674080
JAZAAKUMULLAAHU KHAIRAA.
No comments:
Post a Comment