Habari za Punde

Ujerumani na Tanzania zasaini mkataba wa mashirikiano usafiri wa anga


  QWaziri wa Uchukuzi Tanzania, Mhe. Waziri Mwakyembe (Mb) akisaini Mkataba kwa niaba ya Tanzania
 Waziri wa uchukuzi, Mhe. Waziri wa Mwakyembe (Mb) akibadilishana Mkatana na Waziri anayeshughulikia masuala ya Usafiri wa Ujerumani mara baada ya Mkataba huo kusainiwa.
 Waziri wa uchukuzi, Mhe. Mwakyembe (Mb) akimkabidhi zawadi Waziri mwenzake mara baada ya Mkataba kusainiwa
 Ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika majadiliano kabla ya kusainiwa Mkataba husika

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.