Uwanja wa Mao ukiwa katika matengezezo Makubwa unaofanyiwa uwanja huo ili kuwa wa Kimataifa na Kitaifa, Matengenezo hayo husimamiwa na Uongozi wa Taifa wa ZFA.
Hii ni sehemu ya watazamaji wa Urusi maarufu hukaa mashabiki wa mpira wa miguu Zanzibar akiwemwe Mkongwe Hashim Salum,Said Tomas na wengineo wapenzi wa michezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment