MSAIDIZI Meneja Elimu kwa walipa kodi kutoka
Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB Safia Is-haka akizungumza na wafanyabiashara wa mji
wa Wete Pemba hawapo pichani wakati akiwasilisha mabadiliko ya sheria na kanuni
za ZRB kwa mwaka 2012/2013 kushoto ni Afisa Elimu Idara ya walipa kodi kutoka
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Saleh Haji Pandu (picha na Haji Nassor, Pemba)
GHALA LA MANDOO KUNUFAISHA WAKULIMA BABATI
-
Na Mwandishi wetu, Babati
GHALA kubwa jipya la mazao lililopo Kata ya Mamire Wilayani Babati Mkoani
Manyara, linalomilikiwa na mwekezaji Herman Mandoo lita...
2 hours ago
ZRB ( zanzibar robbery bureau) na TRA ( tanganyika robbery bureau) , majambazi wenye kupewa leseni na serikali , kuwanyonya wananchi kujinufaisha wenyewe na matumbo yao na familia zao , subirini mkiingia makaburini mtakiona cha mtema kuni ,
ReplyDelete