Habari za Punde

Askari wa Jeshi la Polisi auwawa

Kuna taarifa kwamba Askari wa jeshi la Polisi, Zanzibar mwenye cheo cha Koplo PC Said ameuwawa kikatili jana usiku.
 
Taarifa hii zimetangazwa katika vyombo vya habari asubuhi ya leo. Kwa taarifa zaidi tutawaletea tutakapozipata 

6 comments:

  1. InnaaliLlaahi wainnaa ilaihi raaji'uun, Binadamu kila siku wanawala samaki lakini samaki wamenyamaza kimya na kilio chao kuenda na maji lakini samaki wakimla mtu mmoja tu basi vyombo vyote vya khabari vitatangaza.

    ReplyDelete
  2. Radicalism will destroy this island. Once and for all bye bye peace for zanzibaris. Uamsho kwenye website yao wanaandika kwamba watauwa mapolisi, Mapadri n.k. Who is next? Watu wajiulize.

    ReplyDelete
  3. wee kibaraka website gani ya uamsho waloandika ivyo?
    mnadhihirisha chuki zenu wazi wazanzibari na waislamu, hamwishi kupandikiza udini - ila utakukeeni puani karibu. inajulikanwa wazi Tiss ipo nyuma ya yote haya kwa kushirikiana na uvccm znz na wahafidhina.

    web yao hii haijaupdatiwa zaidi ya mwezi sasa:

    http://uamshozanzibar.wordpress.com

    ReplyDelete
  4. Mie kibaraka nasema wameandika kwenye facebook yao. By the way kwani nilidhani wazanzibari wote ni waislam tena kuna chuki gani hapo za dini since 99.9% ni waislam.Chuki ni chuki tu leo utamuua padri,kesho polisi and after that mtoto wa jirani yako. Chuki ukiitumilia kwa dini yoyote haileti amani.Machafuko hayo yapo sehemu nyingi tu na yanaondoa amani. Nigeria,Mombasa n.k.Mie kibara nasema amani imekwisha zanzibar.Tena kama wewe ni ndugu yangu kwa hisani zako usinichukie kwa kuwa mie kibaraka. Mungu anapenda watu wapendane na waishi kwa amani. Tukiendelea kuuwana kwa mapanga hakuna mwisho mwema.Matatizo ya Zanzibar ni makubwa tu,tena mengi.Radicals wamepata nafasi na wanaitumielia vibaya sana.

    ReplyDelete
  5. dahhh, ndio upeo,
    hivi unajua namna ya mtandao/internet social networks unavyotumika,jumiki ilishatoa statement rasmi kua HAIHUSIKI na page ya hiyo ya facebook.
    la kuzingatia km kweli mnajijali hata wenyewe hamuwezi kuzipalilia hizi mbegu za udini - nyie wenyenu na familia zenu zinaathirika pia.
    Hebu ndugu yangu jaribu kua unafuatilia ukweli kuhusu hayo mnayoyapigia debe, soma makala ya MSANGI kuhusu Bokoharam angalau utoe tongo,
    brain laundry inafanya kazi kiasi watu wanashindwa kufikiri vitu vidogo.

    ReplyDelete
  6. kufikiri vitu kidogo, subiri tu. Tongo tu mie nishatoa. Na maana ya Facebook na internet inavyotumika sijui. Langu ni kwamba Amani haipo tena Zanzibar. Brain laundry inafanya kazi kiasi watu wanashindwa kufikiri vitu vikubwa.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.