Habari za Punde

Wawi Star ikijifua


Kikosi cha timu ya soka ya Wawi star kikiwa katika maandalizi kabambe huko uwanjani kwao Mtega ,kwa ajili ya kujitayarisha na michuano ya ligi daraja la pili Wilaya ya Chake chake, ambapo Oktoba 17 mwaka huu itapambana na timu ya Msumari kutoka Tundauwa mchezo utakaopigwa uwanja wa Gombani nje (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.