Habari za Punde

CCM Mkoa wa Mjini Magharibi kufanya uchaguzi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 08/10/2012

MNAARIFIWA KWAMBA TAREHE 13/10/2012 CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KITAFANYA UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA MJINI NA MKOA WA MAGHARIBI UNGUJA. 

MKUTANO WA MKOA WA MJINI UTAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CCM MKOA NA MKUTANO WA MKOA WA MAGHARIBI UTAFANYIKA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KARUME MBWENI KUANZIA SAA 2.30 ASUBUHI. 

 AIDHA WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO SAID ALI MBAROUK JUMATANO YA TAREHE 10/10/2012 ATAKUWA NA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UENGEREZA NCHINI HAPO OFSINI KWAKE KIKWAJUNI MJNI ZANZIBAR. 

IMETOLEWA NA HABARI MAELEZO ZANZIBAR 08/10/2012

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.