Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Levolosi jijini Arusha.
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba akimkabidhi kadi ya Chama hicho aliyekuwa Diwani wa CHADEMA kata ya Ererai mjini Arusha John Bayo, baada ya kuamua kukihama chama hicho.
Wafuasi na wapenzi wa CUF Mkoa wa Arusha wakimshangilia Maalim Seif wakati akiwahutubia katika viwanja vya Levolosi jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Levolosi jijini Arusha.
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba akikabidhi kadi za Chama hicho kwa wanachama wapya walioamua kujiunga na chama hicho Mkoani Arusha.
Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA kata ya Ererai mjini Arusha John Bayo (kushoto), akitangaza kujiengua katika chama chake na kujiunga na CUF kwenye mkutano wa hadhara uliodhuriwa na viongozi wa wakuu wa CUF Mkoani Arusha. (Picha na Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment