Baadhi wa ya maafisa mbalimbali wa Wilaya ya kati Unguja wakisikiliza kwa makini mafunzo yaliyotolewa na mkufunzi Mgoli Lucian Mgoli hayupo pichani kutoka ZAYEEDESA Zanzibar
Mkufunzi wa mafunzo ya Ukimwi Mgoli Lucian Mgoli akitoa mafunzo kwa maafsa wa Wilaya ya kati huko Dunga Unguja hawapo pichani jinsi ya kujikinga mambukizi mapya ya Ukimwi
Mkufunzi wa mafunzo ya Ukimwi Dr Mateo Rerman akitoa mafunzo kwa maafsa wa Wilaya ya kati Unguja hawapo pichani jinsi ya kujikinga na mambukizi mampya ya Ukimwi.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment