Habari za Punde

Usafirishaji magari kutoka Zenj kwenda Dar





Meli ya mizigo ya MV BURAQ III inayofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Zanzibar ikipakia magari katika bandari ya Zanzibar tayari kwaajili ya kuyasafirisha kwenda jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wateja wa magari nchini wanataarifu kuwa gharama za ununuzi wa magari kisiwani humo zipo chini ukilinganisha na Tanzania bara.
 
Picha na  Father kidevu, Mroki Mroki

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.