Habari za Punde

Wanafunzi wa Kidatu cha Nne Zanzibar Wafanya Mtihani wa Taifa Leo.

 Wanafunzi wa Skuli ya Kidongochekundu Zanzibar wakiwa katika chumba cha mitihani wakifanya mtihani wa  somo la Civic. ikiwa Wanafunzo wote wa kidatu cha nne Tanzania wajumuika katika kufanya mitihani ya Taifa.
 Watahinia wa kidatu cha nne Wakujitegemea wakiwa katika chumba cha mitihani katika kituo cha skuli ya Kidongochekundu wakijumuka na wanafunzi wengine katika mtihani wa Civic.
 Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari  Jangombe wakitowa  matirio wakati wakifanya mtihani wa mwanzo wa somo la Civic.wakijumuika na Wanafunzi wezao wa kidatu cha Nne Tanzania.
 Mambo ya mitihani hiyo katika skuli ya Jangombe leo wakijivinjari kupata nafasi ya kuendelea na masomo ya Kidatu cha tano.
 Hivi ndivyo ivyokuwa katika chumba cha mitihani skuli ya sekondari ya Benbella.
 Mambo ya mtihano wa somo la Civic hayooo.
 Mikoba ya watahinia wa kidatu cha nne ikiwa nje ya chumba cha mitihani katika skuli ya Ben Bella.haruhusiwi mwanafunzi kuingia na kitu chochote katka chumba cha mitihani, inabidi kusalimisha hapa.

 Mambo ya haile hayoo wanafunzi wakijifua na paper ya Civic asubuhi ya leo.
Wanafunzi wakiwa nje ya chumba cha mitihani baada ya kumaliza kufanya mtihani wa Civc wakibadilishana mawazo kuhusiana no ngwe hiyo ya kwanza ilioaza leo.kabla ya kurudi mchana kwa somo la kigereza.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.