Habari za Punde

Wadau Mnaikumbuka sehemu hii.

 Wadau mnaikumbuka sehemu hii na mrtaa gani ndani ya Zenj katika mwaka 1996 kulitokea tukio la historia katika sehemu hii na la ajabu katika Zanzibar kutokea. Kazi kwenu wadau kutambua usahihi wake.

5 comments:

  1. kidongo chekundu ilipozama nyumba nzima nzima.....................

    ReplyDelete
  2. Hapo ni Jang'ombe ambapo nyumba ilizama. Dr Salmin (Raisi wakati huo) aliunda tume ya wataalamu ikiongozwa na Mhe Buruhan Saadati kufanya uchunguzi wa kina!

    ReplyDelete
  3. Nani nakubaliana na waliopita kwa kusema hapo ni kidongo chekundu ilipozama nyumba nzima nzima

    ReplyDelete
  4. nyuma ya msikiti wa mshelishelini - jang'ombe.
    nyumba nzima nzima ilizama.
    Mh.Mapara karibu kitaa Denja.

    ReplyDelete
  5. hapa ni jang'ombe hii nyumba ilizama chini nzima nzima nyumba hii ilikuwa ya kina asha mkubwa na asha mdogo huyu asha mdogo siku hizi yupo uengereza na umaarufu wake anaitwa Asha kide jina lake kamili ni asha robert hiu mama yake ni askari wa jku bi fatma katoto asha kide yupo mitaa ya Northampton kule england. inasemekana nyumba ilikuwa ikitumiwa vibaya na wana familia.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.