Wadau mnaikumbuka sehemu hii na mrtaa gani ndani ya Zenj katika mwaka 1996 kulitokea tukio la historia katika sehemu hii na la ajabu katika Zanzibar kutokea. Kazi kwenu wadau kutambua usahihi wake.
DK.MWINYI:CCM ITAFANYA KAMPENI ZA KISTAARABU KWA SERA ZENYE TIJA KWA
WANANCHI
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, ambaye pia ni Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama
Cha...
4 hours ago
kidongo chekundu ilipozama nyumba nzima nzima.....................
ReplyDeleteHapo ni Jang'ombe ambapo nyumba ilizama. Dr Salmin (Raisi wakati huo) aliunda tume ya wataalamu ikiongozwa na Mhe Buruhan Saadati kufanya uchunguzi wa kina!
ReplyDeleteNani nakubaliana na waliopita kwa kusema hapo ni kidongo chekundu ilipozama nyumba nzima nzima
ReplyDeletenyuma ya msikiti wa mshelishelini - jang'ombe.
ReplyDeletenyumba nzima nzima ilizama.
Mh.Mapara karibu kitaa Denja.
hapa ni jang'ombe hii nyumba ilizama chini nzima nzima nyumba hii ilikuwa ya kina asha mkubwa na asha mdogo huyu asha mdogo siku hizi yupo uengereza na umaarufu wake anaitwa Asha kide jina lake kamili ni asha robert hiu mama yake ni askari wa jku bi fatma katoto asha kide yupo mitaa ya Northampton kule england. inasemekana nyumba ilikuwa ikitumiwa vibaya na wana familia.
ReplyDelete