Habari za Punde

Dk Shein akutana na Rais wa Vietnam

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Rais wa Vietnam Truong Tan Sang,alipofika Ikulu ya Nchi hiyo akiwa na ujumbe wake katika ziara
rasmi ya kiserikali ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina ya pande mbili hizi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Waziri Mkuu wa Nchini Vietnam Le Hong Anh,baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika katika Ofisi ya Waziri huyo nchini Vietnam, akiwa katika ziara rasmi ya Kiserikali katika kuimarisha uhusiano na ushirikiano baina pande mbili hizo.

[Picha na Ramadhan Othman,Vietnam.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.