Hichi ndicho Kiwanja cha Kufurahisisha Watoto Kariakoo kikiwa hivi baada ya kuvunjwa pembea zake kwa kupisha ujenzi wake upya unaojengwa na Kampuni ya Kichina ya CRJE. Ujenzi wake utachukuwa miezi 15 hadi kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa ni nusu ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zikisherehekewa na Uwanja mpya wa Watoto, ukiwa na pembea za kisasa.
Matayarisho ya kujenga uzio wa ukuta ili kuweza kuendelea na shughuli za ujenzi bila ya kero za wapita njia.
Assalam alykum jamani mimi napenda kuuliza ivi watoto wako unguja tu, au mbona kiwanja cha Pemba wakitengenezwi , nafikiri watoto wote wana haki sawa, au pemba hakuna sherehe za mapinduzi badilikini.
ReplyDelete