Mshambuliaji wa timu ya Bandari na wa timu ya Zimamoto wakigombea mpira katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Zimamoto imeshinda 2--1
Mshambuliaji wa timu ya Bandari Mussa Omar akimpita beki wa timu ya Zimamoto Suleiman Jecha .
Mchezaji wa timu ya Zimamoto Khalfan Ali akimpita beki wa timu ya Bandari Saleh Abdalla katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Zimamoto imeshinda 2--1
Wapenzi wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kati ya timu ya Zimamoto na Bandari uliofanyika uwanja wa Amaan.
No comments:
Post a Comment