Habari za Punde

Unatakiwa kujali Usalama wako

 Mpanda chombo cha moto akikatisha katikati ya gari mbili zilizokuwa simesimama, bila ya kujali usalama wake kwa hatua hiyo ya kupenya katika msongamano wa magari, kama anavyoonekana pichani akiwa katika harakati za kuhakikisha anapita na huku mvua ikinyesha. Mtumia barabara kwa kutumia vyombo mbalimbali wanahitajika kuwa waangalifu wakati katika barabarani ili kuepusha ajali za makusudi.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.