Habari za Punde

Msaada Wakitowa kwa Mwanafunzi mwenzao

Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari BenBella wakimsaidia mwanafunzi mwenzao ambae ameanguka hafla wakati wakifanya usafi katika maeneo ya skuli yao asubuhi, kutokana na maelezo ya wanafunzi wenzake wamesema hii ni mara ya kwanza kumtokea mwenzao kuanguka.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.