Habari za Punde

Mdau wa Habari akiwa kazini.

Mdau wa habari wa chombo cha habari cha ITV Farouk Karim, akiwa katika harakati za kurusha habari akiwa katika eneo la kazi baada ya kurikodi tukio la kupokelewa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika jengo la Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.