Habari za Punde

Wadau wa Habari wakiwa kazini.

Wadau wa habari wa vyombo mbalimbali wakiwa katika harakati za kupata picha bora ili kuvutia katika magazeti na TV, wakiwa katika moja ya mmkutano wa hadhara katika vibanda maiti wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Shein akihutubia wananchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.