Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI .

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipoea zawadi kutoka kwa Balozi wa India Nchini Tanzania, Dednath Shaw, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Nov 21, 2012. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.