Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Joseph Meza (katikati) kushoto Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Mzee na Rais wa AAPAM, wakibadilishana mawazo baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 34 AAPAM uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Wajumbe wakiagalia bidhaa za Wajasiriamali katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort
No comments:
Post a Comment