Habari za Punde

Balozi mdogo wa Msumbiji afanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar

 Balozi mdogo wa Msumbiji aliekuwapo Zanzibar Bernado Constantino Lidimba wakwanza kulia akifanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa CCM Zanzibar wakati alipofika Ofisini hapo kwa ajili ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wake,kulia yake ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mwengine ni Katibu wa Kamati Maalum ya Nec,Haji Mkemana wamwisho ni Katibu Msaidizi Mkuu kitengo cha Uchaguzi Mohd Haji Hassan.
Balozi mdogo wa Msumbiji aliekuwapo Zanzibar Bernado Constantino Lidimba kulia akifanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati alipofika Ofisini hapo kwa ajili ya kuwaaga baada ya kumaliza muda wake,hafla iliofanyika Afisi kuu ya CCM Kisiwa ndui Mjini Zanzibar.

 PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.