Habari za Punde

Dk Bilal amkagua Mzee Hamid Ameir Ali

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia, Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya malaria na Kifua. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.