Meneja wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)Ofisi ya Zanzibar Suleiman Seif akielezea madhumuni ya Mazungumzo ya Waandishi wa Habari yaliofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Mazson's Hotel iliopo Shangani Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Mazungumzo ya Waandishi wa Habari Bi Maryam Hamdani akiwakaribisha Waandishi mbalimbali waliohudhuria katika Mazungumzo ambayo yalihusu Dhima ya Vyombo vya Habari katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.iliofanyika hapo Mazson's Hotel Shangani Mjini Zanzibar.kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mshtaka Zanzibar Ibrahim Mzee na kushoto yake ni Meneja wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)Ofisi ya Zanzibar Suleiman Seif.
Mkurugenzi wa Mshtaka Zanzibar Ibrahim Mzee akitoa mada ya Dhima ya Vyombo vya Habari katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar katika Mazungumzo ya Waandishi wa Habari yaliofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Mazson's Hotel iliopo Shangani Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mazungumzo ya Waandishi wa Habari yaliofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Mazson's Hotel iliopo Shangani Mjini Zanzibar.
PICHA NA-YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.
Tatizo lenu mnaeka picha tu lakini kilichozungumzwa hakijuilikani, jee mnataka watu wapate habari au mnaonesha albamu. watu wanataka wajue ni haki zipi za habari na nani kazungumza nini na hitimishi la mkutano ni nini.
ReplyDelete