Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar,(UVCCM) walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar,kumpongeza Rais kwa kuchaguliwa kushika nafasi ya Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar hivi Karibuni huko Dodoma,baada ya kufanyika Mkutano Mkuu wa Chama hicho

Baadhi ya Viongozi wa juu wa Umoja wa Vijana CCM Zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,alipokuwa akizungumza nao wakati walipofika kumpongeza Ikulu Mjini Zanzibar,kwa kuchaguliwa kushika nafasi hiyo,baada ya kufanyika Mkutano Mkuu wa Chama hicho huko Dodoma hivi karibuni.

(Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment