Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda akimkaribisha Waziri wa habari utamaduni utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk hayupo pichani kuzindua Bodi ya Ushauri wa Magazeti na Vijarida katika hafla iliyofanyika Ofisini kwa Waziri huyo Kikwajuni Zanzibar
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Magazeti na Vijarida ambaye pia ni Mshauri wa Rais mambo ya Utalii Issa Ahmed Othman akitoa maelezo kwa Waziri wa Habari Utamaduni utalii na Michezo Said Ali Mbarouk hayupo pichani kabla ya uzinduzi wa Bodi hiyo kushoto yake ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda.
Waziri wa Habari Utamaduni utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akitoa nasaha zake kwa Wajumbe wa Bodi ya Ushauri wa Magazeti na Vijarida hawapo pichani huko Ofisini kwakwe Kikwajuni Zanzibar.
Picha na Abdalla Omar-Maelezo Zanzibar
No comments:
Post a Comment