Vikundi mbalimbali vya Mazoezi vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi vikielekea Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar
Vikundi vya Mazoezivilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi vikiingia ndani ya Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na MichezoSaid Ali Mbarouk akipokea Vikundi mbalimbali vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na MichezoSaid Ali Mbarouk akitoa Hotuba ya kuwapongeza Wanavikundi na kuwapa hongera ya Mwaka mpya baada ya kushiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi Zanzibar.
-Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na MichezoSaid Ali Mbarouk akitoa Zawadi kwa Vikundi mbalimbali vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi Hapo Uwanja wa Amani Zanzibar.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment