Habari za Punde

Dk Shein afungua jengo jipya la Chuo cha utawala wa umma leo


Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi mara baada ya kufika katika Ufunguzi wa Jengo jipya la Chuo cha Utawala wa Umma huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


 
Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akikunjuwa Kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Jengo jipya la Chuo cha Utawala wa Umma huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein katikati akipata maelezo kwa Mkurugenzi wa Chuo cha Utawala wa Umma Arusi Masheko Ali wakwanza kushoto mara baada ya kulifungua Jengo jipya la Chuo cha Utawala wa Umma huko TunguuWilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Jengo jipya la Chuo cha Utawala wa Umma huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 
Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein akifafanua jambo alipotoa hotuba ya Ufunguzi wa Jengo jipya la Chuo cha Utawala wa Umma huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Wariri wa Nchi Afisi ya Rais Utumishi na Utawala bora Haji Omar Kheir na kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Abdullah Suleiman Abdullah.
 
Rais wa Zanzibar Dk,Ali Mohd Shein katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Uongozi wa Chuo cha Utawala wa Umma Baada ya kulifungua jengo la Chuo cha Utawala wa Umma huko Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.