Habari za Punde

Gari Inauzwa Bei Maelewano.

 Gari hii aina ya pijoti  504 inauzwa bei masikilizano ukitaka kuiona unaweza kufika Rahaleo  nje ya Jengo la ZBC  zamani Sauti ya Zanzibar Rahaleo Zanzibar. kwa mawasiliano unaweza kuwasiliana na No 0777424152 - 0715 424152  na 0759 424152.

3 comments:

  1. Dah!! hii gari ingekuwa huku uk jamaa angekula fedha ya nguvu!!! wenzetu wazungu wanavipenda vitu vya long time!"!""

    ReplyDelete
  2. Hiyo sio hata ya zamani matunzo tu hafifu, Z'bar kuna 403 na 404 nyingi ambazo bado zipo kwenye matumizi si kwambii hizo HELMEN, MORRIS na CAMBRIDGE!

    ReplyDelete
  3. Kizuri cha jiuza kibaya cha jitembza, kidoga ingepigwa sopu sopu ingelionekana waa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.