Gari hii aina ya pijoti 504 inauzwa bei masikilizano ukitaka kuiona unaweza kufika Rahaleo nje ya Jengo la ZBC zamani Sauti ya Zanzibar Rahaleo Zanzibar. kwa mawasiliano unaweza kuwasiliana na No 0777424152 - 0715 424152 na 0759 424152.
AMREF TANZANIA NA BUFFALO BICYCLES WAKABIDHI BAISKELI 250 KWA MABALOZI WA
FISTULA GEITA
-
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita, Dkt. Yohane Kihaga akikabidhi moja ya
baiskeli kwa Mhudumu wa Afya Ngazi ya Jamii.
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita,...
40 minutes ago
Dah!! hii gari ingekuwa huku uk jamaa angekula fedha ya nguvu!!! wenzetu wazungu wanavipenda vitu vya long time!"!""
ReplyDeleteHiyo sio hata ya zamani matunzo tu hafifu, Z'bar kuna 403 na 404 nyingi ambazo bado zipo kwenye matumizi si kwambii hizo HELMEN, MORRIS na CAMBRIDGE!
ReplyDeleteKizuri cha jiuza kibaya cha jitembza, kidoga ingepigwa sopu sopu ingelionekana waa
ReplyDelete