Habari za Punde

Kero ya Usafiri Daladala kwa Wanafunzi Vituoni.

 Wanafunzi wa skuli mbalimbali katika manispa ya Zanzibar wamekuwa na buhudha wanayopata kwa usafiri wakati wa kurudi majumbani inabidi kuchukuwa muda mwingi vituoni kusubiri daladala, baadhi ya daladala hukataa kuwachukuwa kwa kudai nauli zao ni ndogo, na kuwachukuwa na kukaa katika vituo, kama walivyokutwa wanafunzi hawa wakiwa katika kituo cha daladala Michenzani wakati wa jioni wakisubiri usafiri huo kurudi majumbani. Inabidi taasisi husika kuchukuwa hatuwa za kuwakomboa wanafunzi katika usafiri

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.