Habari za Punde

Mambo ya Usafiri wa Bike kwa Wananchi wa Zenj.........

 Baskeli ni moja ya usafiri unaotumika kwa Wananchi wa Zanzibar tangu zama hizo na kuwa usafiri wa uhakika kwa safari za kawaidi kwa hapa na pale katika mitaa ya Zenji hufika katika sehemu mbalimbali ambazo hazifiki na gari basi baskeli hifika kwa urahisi, na hata wanafunzi hutumia baskeli wakati wanapokwenda skuli na kurudi kama nilivyozikuta baskeli hizo katika moja ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani Zanzibar zikiwa zimepaki nje ya Chuo hicho.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.